Thursday, December 20, 2012

WANANCHI WA KIJIJ CHA MAJIMOTO KATAVI WAMEISHUKURU BANK YA CRDB KUSAIDIA SACOS YAO VIFAA VYA KIBANK

 Jengo la sacos ya maji moto
 Mlango wa chumba cha kuhifadhia fedha
Mh waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa ana ongea na Meneja wa tawi la crdb mpanda bwana Selemani Mbazi baada ya kuonana na uongozi wa sacos ya maji moto katavi  bank ya crdb imetoa msaada katika sakosi hiyo mlango wa chumba cha kuhifadhia fedha sefu pamoja na kujenga kaunta ya kisasa kwa ajili ya kuhudumia wateja kulia kwa waziri mkuu ni diwani wa maji moto bwana Nyasongo serengeti pcha na chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU