Saturday, January 19, 2013

MZEE GEORGE KAHAMA NA CAG LUDOVICK UTOUH WATOA MAONI KATIBA MPYA

 Waziri Mstaafu na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee George Kahama akitoka nje ya ukumbi wa mikutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumamosi, Januari 19, 2013) ambapo alikutana na Wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba.
 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo (Jumamosi, Januari 19, 2013). Bw. Utouh alikutana na Wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni ya taasisi yake kuhusu Katiba Mpya
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba maoni ya Jumuiya hiyo kuhusu Katiba Mpya jijini Dar es Salaam jana
 Waziri Mstaafu na Mwanasiaisa Mkongwe nchini, Mzee George Kahama (kushoto) akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam (jumamosi, januari 19, 2013) na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU