Dkt, Milhael Arraham kushoto akimpima Afya Iddy Mnyeke kabla ya mpambano wake na Sadiki Momba jana |
Bondia Cosmas Kibuga kulia akimshambulia kwa makonde Makali mawe wakati wa mchezo wao uliofanyika jana |
Mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kutoka kambi ya Ilala akifatilia mpambao huo |
Bondia Sadiki Momba kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Iddyt Mnyeke wakati wa mpambano wao uliofanyika jana momba alishinda kwa point |
Bondia Sadiki Momba kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Iddyt Mnyeke wakati wa mpambano wao uliofanyika jana momba alishinda kwa point |
Bondia Ramadhani Kumbele kushoto akioneshana kazi na Shabani Kilumbelumbe wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Kumbele alishinda kwa point |
Mashabiki wa bondia toka kambi ya ilala Iddy Mnyeke wakiwa katika picha ya pamoja na bondia wao |
Bondia Omar Ramadhani akishangilia ushindi baada ya kumpiga Deo njiku kwa point jana na kutawazwa kuwa bingwa wa taifa PST |
Bondia Adamu Yahaya kushoto akipambana na Godfrey Slva wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa na PST Silva alishinda kwa Point |
Bondia Ibrahimu Class ' Kking Class Mawe' akifatilia mpambano wa masumbwi uliokuwa ukifanyika manzese Dar es salaam jana na Aasha Kamnyanga ' Mama Iikota' Mrs Super D Boxing Coach. |
Bondia Omary Ramadhani kushoto akijaribu kumkwepa bondia Deo Njiku wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Ramadhani alishinda kwa point na kutangazwa kuwa bingwa wa Tanzania PST , |
Bondia
Deo Njiku wa Morogoro akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Omary
Ramadhani wakati wa kugombania mkanda wa ubingwa wa Tanzania PST
Ramadhani alishinda kwa Point .picha na www.superdboxingcoach. |
Mabondia wakisubili matokeo ya mchezo |

0 maoni:
Post a Comment