Baraza la michezo Taifa BMT limetangaza kupiga kalenda uchaguzi wa CHANETA badala ya kufanyika machi 23 ,sasa utafanyika April 20 mwaka huu mkoani Dodoma kutoka na ukata wa fedha.
Taarifa ya katibu mkuu wa BMT HENRY RIHAYA anasema kutokana ukosefu huo wa fedha na BMT inajipanga hadi kuhakikisha ifikapo April 20 uchaguzi utafanyika,na suala la usahili litafanyika April 18 na pingamizi April 19 mwaka huu mkoani DODOMA.
0 maoni:
Post a Comment