Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Majadiliano ya Kitaifa ya
Ushirikiano kwa manufaa ya Wote, wakati akifungua rasmi Majadiliano
hayo yaliyoanza leo Juni 1, 2013 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya washiriki wa Majadiliano hayo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa majadiliano hayo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Majadiliano ya Kimataifa ya Ushirikiano kwa Manfaa ya wote, baada ya kufungua majadiliano hayo

Katibu Mkuu
Kiongozi, Ombeni Sefue, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mary Nagu, kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais
Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mary Nagu, akisoma Hotuba yake kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua Majadiliano hayo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Majadiliano ya Kimataifa ya Ushirikiano kwa Manfaa ya wote, baada ya kufungua majadiliano hayo
0 maoni:
Post a Comment