Saturday, June 1, 2013

SERIKALI YASEMA HAINA IMANI NA USALAMA WA WACHEZAJI WATAKAOKWENDA SUNDAN KWENYE CECAFA

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe amesema serikali haina imani na hali ya usalama ya wachezaji wa timu za Yanga na Simba watakaokwenda nchini huko kushiriki mashindano ya CECAFA.

Membe amesema haya bungeni Dodoma kuwa hali ya usalama nchini humo siyo nzuri na anashangaa kuona kwanini CECAFA imepeleka mashindano katika nchini ambayo haina hata hotel,wageni wanapokelewa na magari ambayo yanavizuizi yaan BULLET PLUF.

Amesema serikali inafanya kila liwezekanalo kuhakisha wanalinda hali ya usalama ya wachezaji kwenda katika mashindano katika nchi ambayo haina usalama

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU