Friday, June 7, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA KONGAMANO LA USHINDANI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World  Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni 7/2013.
 Wajumbe wa kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World  Economic Forum) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal alipokua akifungua Kongamano hilo leo katika Hoteli ya New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni 7/2013. (Picha na Ofisi ya kamu wa Rais)
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World  Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni 7/2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sezibera baada ya kufungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World  Economic Forum)na kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni 7/2013

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU