Meneja Uhusioano wa Airtel jackson mmbando akibadilishana mawazo na
Maafisa mauzo wa Airtel wa mkoa wa Dar es Salaam leo wakati
wafanyakazi hao wakijipanga kuingia mtaaani kukutana na wateja wao na
kuwaelekeza jinsi ya kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha SHINDA
NYUMBA 3
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi, Adriana Lyamba
akijipanga na mmoja wa afisa mauzo wa Airtel wa Dar es salaam Bi,
Violet Kajubili muda mfupi kabla ya wafanyakazi wote kuelekea katika
mitaa mbalimbali ya jiji la Dar esa salaam kuonana na wateja ili kutoa
huduma mbalimbali ikiwemo kuwaelimisha wateja wao jinsi ya kutumia
huduma ya Airtel yatosha na promosheni ya shinda nyumba 3.
Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba LEO amesema
Airtel imefanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na
wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka
kuhakikisha kuwa kila mteja anafaham jinsi ya kufaidika na huduma zao zote ikiwemo ya Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga *149*99# Kisha kuchagua kifurushi nafuu cha SIKU WIKI AU MWEZI ili kuongea kwa gharama nafuu kwenda mtandao wowote nchini Tanzania
kuhakikisha kuwa kila mteja anafaham jinsi ya kufaidika na huduma zao zote ikiwemo ya Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga *149*99# Kisha kuchagua kifurushi nafuu cha SIKU WIKI AU MWEZI ili kuongea kwa gharama nafuu kwenda mtandao wowote nchini Tanzania
Baadhi ya maofisa na viongozi wa Timu Airtel Yatosha wakiendelea
kupeana maelekezo jinsi ya kwend a kuingia sokoni kwenye kila mtaa
jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba
tatu
Meneja wa Masoko na Chapa wa Airtel Bi, Upendo Nkini nae anawakilisha
Timu Yatosha kwenda mtaani sasa.AIRTEL YATOSHA NA BADOOOO!
Usafiri maridadi umeandaliwa ili kuhakikisha kazi na mizunguko ya
Airtel yatosha tour inakamilika bila zengwe
0 maoni:
Post a Comment