Thursday, September 26, 2013

KATIBU MKUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS, SAAZ SALULA AITEMBELEA TIMU YAKE KAMBINI MKOANI DODOMA

 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Saaz Salula, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati walipokuwa katika mazoezi yao leo asubuhi kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kwa ajili ya mashindano ya SHIMIWI. Katibu Mkuu alipita kuwajulia hali wachezaji wake na kujua maendeleo ya kambi hiyo.
 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Saaz Salula, akizungumza na wachezaji wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati alipowatembelea kuwajulia hali katika Kambi yao mjini Dodoma leo wakiwa katika mashindano ya SHIMIWI. Picha na OMR
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Saaz Salula, akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Ofisi yake, wakati alipofika katika Kambi ya timu hiyo kuwajulia hali mjini Dodoma leo asubuhi, wakiwa katika mashindano ya SHIMIWI. Picha na OMR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU