Tuesday, September 24, 2013

KIKOSI CHA WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STAR TANZANIA CHAWASILI NCHINI KUTOKA LAGOS NIGERIA

 Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria
 Timu ya wavulana ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
 Mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars Afrika kwa upande wa wasichana Timu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
 Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa kwenye basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
 Mzazi wa mchezaji wa kike Donisia Daniel  akimpokea mwanae kwa furaha
Aifsa uhusiano wa Airtel Jana Matinde (mwenye rasta) akiwalaki wachezaji  mara baada ya kuwasili kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria pichani ni baadhi ya watu waliojitokeza usiku huo kuwapokea wachezaji hao

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU