Wednesday, September 4, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BENKI MPYA YA UBL JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kuzindua Benki mpya ya UBL, iliyopo Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika leo Sept 4, 2013. Kushoto na kulia kwa Makamu wa ni baadhi ya viongozi wa juu wa benki hiyo, Anwar Pervez na Atif Bakhari.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na viongozi wa Benki mpya ya UBL, kufurahia uzinduzi wa benki hiyo iliyopo Mtaa wa samora jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo Sept 4, 2013
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa benki ya UBL iliyozinduliwa leo Sept 4, 2013 jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya UBL, Zamees Ghudrey, akizungumza wakati alitoa shukrani baada ya uzinduzi huo, uliofanyika leo Sept 4, 2013
 Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa benki hiyo, wakimsikiliza Makamu wa Rais , wakati alipokuwa akiwahutubia kwenye uzinduzi huo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata Keki maalum iliyoandaliwa kuashiria uzinduzi wa benki hiyo mpya ya UBL, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo Sept 4, 2013
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa benki mpya ya UBL, baada ya uzinduzi wa benki hiyo uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU