Wednesday, September 4, 2013

VIFURUSHI VYA AIRTEL YATOSHA VYAZIDI KUBORESHWA ZAIDI

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel  Bi, Beatrice Singano Mallyaakiongea kuhusu kuboreshwa kwa huduma mpya  ya Airtel Yatosha inayomwenzesha mteja wa Airtel kupata kifurushi cha maongezi , sms na internet na kuwasiliana na mitandao yoyote nchini, sasa kwa shilingi499 mteja anapata dakika 20, sms 300 pamoja na kifurushi cha internet cha 125MB.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU