Thursday, October 3, 2013

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAENDESHA UKAGUZI WA MAGARI KWA WAFANYAKAZI WA AIRTEL

Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua tairi la gari la mmoja wa wafanyakazi wa Airtel  James Majwala wakati   polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel  katika makao makuu ya Airtel morroco
 Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua uhalali stika ya leseni ya barabarani katika moja ya gari la wafanyakazi wa Airtel bwana Francis Ndikumwami wakati  polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel  katika makao makuu ya Airtel morroco
 Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua gari la mmoja wa wafanyakazi wa Airtel  Bi Susan Kajubili wakati  polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel katika kutimiza lengo la wiki ya Nenda kwa usalama barabarani,. zoezi hilo liliyofanyika katika makao makuu ya Airtel morroco
  
Mfanyakazi wa Airtel bwana Jacob Malisa akibandika stika ya usalama barabarani mara baada ya gari lake kukaguliwa na kuthibitisha kufaa kutembea barabarani.  Zoezi la ukaguzi wa magari lilifanyika jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel na kuwashirikisha wafanyakazi wa Airtel

Inspector Serengeti Action wa kituo cha polisi Oyesterbay akiingia katika moja ya gari la mfanyakazi wa Airtel bi Aminata Nakieta tayari kwa ukaguzi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU