Mwanamuziki wa
nyimbo za injili na
muhubiri wa kimataifa
Bon Mwaitege amewataka
Watanzania kujifunza kudai haki
kwa njia ya amani
bila kufanya maandamano na
uharibifu na kusema
zipo njia nyingi
mbadala za kusaidia kupata haki bila kuwa kero na
kuleta hofu kwa
watu wengine.
Mwaitege amezungumaza
hayo katika mkutano
wa hadhara wa
injili uliofanyika mjini Mpanda
mkoani katavi ikiwa mfululizo
wa ziara yake
katika mikoa ya
Kigoma,katavi,Rukwa na mbeya
Akihutubia mamia
ya wakazi wa
mpanda katika eneo
la makanyagio ambapo
wananchi walifika kwa
ajili ya kupata
burudani na muziki
wa injili uku
akitoa mfano wa
mwanamke kahama alieiba mtoto wa
mwenzake na kumbadilishia mtoto
aliekufa.
Mwaitege amesema
katika kudai haki
kuna hatua za
msingi kabisa na kusema
wapo wanaodai haki
kwa kutumia nguvu na
baadae kuishia gerezani kutokana na
nguvu waliotumia kudai haki
kuwa batili
0 maoni:
Post a Comment