Mwenyekiti
wa CCM Taifa,
Rais Jakaya Kikwete wakati akifunga mafunzo kwa
watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, usiku wa kuamkia
leo Oktoba 25, 2013 katika
ukumbi wa mikutano wa CCM wa ‘White House’ mjini Dodoma. Mafunzo hayo
yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM,
Zanzibar, Dk.
Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu
Philip Mangula na kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu
Abdulrahman Kinana. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment