Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina
Maria Kimaryo (kushoto), akizungumza kwa simu na mmoja wa washindi wa
promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Wengine
kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa,
Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki , Mussa Jallow,
Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo
ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walishinda
pikipiki na wawili jenereta.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki
wa Benki ya Taifa ya Biashara ( NBC) , Mussa Jallow (katikati) akizungumza
wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar
es Salaam. Wengine kushoto ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo,
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza
na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za
Kuwekeza, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne
walijishindia pikipiki na wawili jenereta.
Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na
Wateja Wakubwa cha Benki ya NBC,
Dorothea Mabonye (katikati) akibonyeza kompyuta ili kumpata mmoja wa washindi wa promosheni ya
‘Weka Upewe’ ya benki hiyojijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya
Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walijishindia pikipiki na wawili
jenereta.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC na waandishi wa
habari wakifuatilia hafla ya droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ya benki
hiyo jijini Dar es Salaam.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Taifa ya Biashara (
NBC), Eddie Mhina (kushoto) akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni
ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto kwake ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria
Kimaryo, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za
Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja
za Kibenki, Mussa Jallow na Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye.
0 maoni:
Post a Comment