Thursday, February 20, 2014

KUMI NA TISA WAITWA TIMU YA TAIFA YA NGUMI ZA RIDHAA

SHIRIKISHO la mchezo wa ngumi za ridhaa limetaja majina ya mabondia KUMI na SABA watakaounda kikosi cha timu ya taifa cha ngumi za ridhaa.

Msemaji wa shirikisho la mchezo, SALUM VIDUKA katika majina hayo hakuna mabondia wakongwe .

Baadhi ya mabondia wakongwe ambao hawakuitwa ni SELEMAN KIDUNDA, EMILIAN PATRICK, GERVAS ROGASIAN ambaye aling`ara katika tuzo za ngumi za ridhaa za mwaka huu na JOSEPH MARTIN.

Mabondia hao hawakuitwa katika kikosi hicho kutokana na kutoshiriki kwenye mashindano ya kitaifa ya kumuezi hayati NELSON MANDELA.
 


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU