Sunday, January 23, 2011

JKT WANAUME IMEIFUNGA HOOPLIFE VIKAPU 146 -39


MIEZI saba imebaki kabla ya kuanza kwa mashindano ya kimataifa ya mchezo wa kikapu ambayo yatashirikisha vilabu vingi kutoka katika nchi za Afrika mashariki na kati yanayofahamika kama mashindano ya ZONE FIVE.

Lakini maandalizi ya kuandaa uwanja kwa ajili ya mashindano hayo bado hayajawa katika kundaliwa kwa ajili ya mashindano ambayo TANZANIA ndiyo mwenyeji .

Katika mechi zinazoendelea kwenye uwanja wa ndani timu ya JKT imeifunga timu ya HOOPLIFE vikapu 146-39.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU