Sunday, January 23, 2011

KAMATI YA UTENDAJI IMEAFIKA UAMUZI WA MWALUSAKO KUJIUZULU YANGA

K Kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga imekutana kwa dharura leo kujadili barua ya kujiuzulu ya katibu wake LAWRENCE MWALUSAKO.

Taarifa ya  msemaji wa klabu hiyo , LUIS SENDEU amesema kikao cha kamati ya utendaji cha klabu hiyo imeafiki uamuzi wa LAWRENCE MWALUSAKO wa kujiuzulu kwa madai aliyoandika katika barua katika barua yake kuwa ni kutokana na sababu za kiafya ili aweze kushughulikia afya yake.

 

==

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU