Wednesday, January 26, 2011

KOCHA PAPIC AACHIA NGAZI YANGA KURUDI KWAO JUMATATU

KOCHA WA YANGA PAPIC .
Msemaji wa YANGA LOUIS SENDEU amethibitisha kuwa kocha wa YANGA PAPIC ameamua kuacha kazi na tayari amewaaga wachezaji wa klabu ya YANGA na anatarajia kuondoka nchini mapema licha ya kwamba bado kocha hajasema kwanini anaondoka YANGA .

Klabu ya YANGA imekuwa katika simtofahamu kufuatia baadhi ya viongozi kuamua kujitoa katika uongozi wa klabu hiyo wengine wakidai kuwa wagonjwa na wengine wakiondolewa .

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU