Monday, January 24, 2011

YANGA YAMFUKUZA MENEJA MPANGALA NA NAFASI YAKE IMECHUKULIWA NA SALVATOR EDWARD

                                      Meneja aliyesimamishwa kazi MPANGALA akiwa na kocha PAPIC.

Uongozi wa klabu ya YANGA umemuondoka kazi ya umeneja aliyekuwa meneja wa YANGA MPANGALA na nafasi yake imekwenda kwa SALVATOR  EDWARD ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo.

Lakini MPANGAla amesema yeye hajaambiwa lolote juu ya kuondolewa nafasi ya umeneja na wala hajaandika barua ya kuondoka YANGA.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU