Monday, January 24, 2011

YANGA YAENDELEA KUWA MWIBA LIGI KUU YAICHAPA POLISI TANZANIA MABAO 2-0

Timu ya YANGA imeendelea kutesa katika msimamo wa ligi kuu TANZANIA bara baada ya kuifunga timu ya POLISI TANZANIA magoli mawili kwa bila katika mchezo uliofanyika uwanja wa UHURU Jijini DSM,magoli yote mawili ya YANGA yamefungwa na mchezaji wa kimataifa DAVIS MWAPE

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU