LIGI ya kuhamasisha mchezo wa ngumi kwa mkoa wa Ilala inatarajiakufanyika tena Mei 14 kati ya mabondia wa Ashanti boxing na Matibwaambapo ianatarajia kutimua vumbi, Tabata Segerea Dar es Salaam.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Kocha mkuu wa timu ya Ashanti, RajabuMhamila 'Super D' ambaye pia ni mratibu wa ligi hizo mkoa wa Ilalaalisema ligi hiyo itakuwa ikifanyika maeneo tofauti ya mkoa huo ilikuweza kuhakikisha inawafikia wakazi wote wa Ilala.
lengo hasa likiwa ni kutaka kuwavuta vijana wengi kujiunga namchezo huo na kuepuka kukaa vijiweni huku wakiwa na kipaji cha kuchezamchezo huo ambapo mapambano ya ligi hiyo yatakuwa katika raundi nnekatika uzito tofauti.
Katika mchezo huo wa hivi karibuni kwa upande wa klabu yaAshanti mabondia watakaoenda kuchuana na mabondia hao wa Tabata niIbrahim clas atakae chuana katika uzito wa kg 60, Uwesu Manyota 58,Ramadhani kimangala kg 56, Rashid Mhamila kg 54, Mack Edison kg 52 naMusa Mohamed kg 49.
Super D mbali ya kuamasisha mchezo wa ngumi pia kutakua na DVDzilizoandaliwa na kocha uyo kwa ajili ya kujifunza sheria za mchezopamoja na jinsi ya kufanya mazoezi ambazo kuna mabingwa wa Duniaakiwemo manny Paquao, Floyd Maywether, Oscar Dela Hoya,Mohamedi Ally na wengine wengi
0 maoni:
Post a Comment