Monday, May 9, 2011

 Waziri Mkuu, MIzengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Telakela Milia Samnyuha ambaye ni mama mzazi wa Spika wa Bunge, Anne Makinda katika mazishi yaliyofanyika  katika kijiji cha Yakobi wilayni njome May 8, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri Mkuu, Mstaafu, Cleopa David Msuya kwenye viwanja vya  Kituo cha mikutano  cha St. Gaspar Mjini Dodoma   May 9, 2011, wanakohudhuria  Semina Elekezi. (Piha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU