Monday, May 16, 2011

MABONDIA WAKONGWE WA NGUMI ZA RIDHAA WAANZA MAZOEZI

Timu ya taifa iliyoko kambini kwa maandalizi ya michezo ya kimataifa.
Kambi ya timu hiyo imeongezewa nguvu baada ya mabondia wakongwe walioengulia hapo awali kurudishwa kambini kwa ombi maalumu la kocha mkuu M-CUBA PIMENTEL.
Mabondi hao waligomewa na shirikisho la ngumi za ridhaa BFT kujiunga na kikosi hicho cha timu ya TAIFA baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu katika mashindano ya kirafiki ya AFRIKA MASHARIKI yaliyofanyika hapa nchini.
Mabondia ambao wamejiunga na wenzao ni JOSEPH MARTIN na NASA MAFURU wamewataka watanzania kusahau yaliyopita kwani wamejifunza kutokana na makosa.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU