Timu ya mkoa wa kisoka ya ILALA ni moja ya timu zilizokata tiketi kucheza kwenye hatua ya robo fainali itakayoanza tarehe 22 mwezi huu mkoani ARUSHA.
Timu hiyo ya ILALA iko DSM imekutana na mlezi na mbunge wao AZAN ZUNGU, akawaambia wachezaji wajitume na wasikubali kulaghaiwa na wajanja kwenye hatua hii ya robo fainali.
ZUNGU anasema endapo timu ya ILALA itashinda na kuchukua ubingwa basi watapewa shilingi MILIONI THELATHINI za ubingwa wa mashindano hayo na kuendelea kusaidia kutafuta michago kutoka kwa wadau.
Baada ya nasaha hizo za AZAN ZUNGU kocha mkuu wa timu OMARI HASANI hiyo na nahodha wao ADAM KINGWANDE wakatoa nadhiri kwamba watatia juhudi ili waweze kuupata ubingwa.
ILALA ndio watakaokata utepe wa hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la taifa kwa kupambana na mabingwa
0 maoni:
Post a Comment