Tuzo za muziki kwa nchi za AFRIKA MASHARIKI zimetangazwa Jiji i ambapo zitafanyika September 20 mwaka huu huko nchini KENYA.
Mratibu wa tuzo hizo ALFRED MTWAA amesema kuwa tuzo hizo zina lengo la kuimarisha uhusiano wa nchi zilizopo katika muungano huo na kuthamini kazi za wanamuziki wake.
Amesema baadhi ya vipengele vitakavyopigiwa kura ni pamoja na mwanamuziki bora wa kike na kiume,wimbo bora wa ushirikiano,wimbo bora wa hip pop, na mwimbno bora wa RHUMBA huku kazi zikazopigiwa kura ni zile zilizotengenezwa kuanza mwaka 2007 hadi mwaka huu
0 maoni:
Post a Comment