Monday, June 13, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenya (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2011 (Picha na Ofisi yaWziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo kutoka Bunda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2011.  Kushoto kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU