Tuesday, February 26, 2013

AIRTEL, ROTARY CLUB, BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MR.PRICE, HOME SHOPPING CENTER- WAUNGANA KUENDESHA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI KUPITIA MPINGA CUP

 Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akionge wakati wa kutangaza kuanza kwa mashindano na kukabithi vifaa vitakavyotumika katika mashindano yatakayo shirikisha waendasha pikipiki maarufu kama bodaboda  yanayoitwa “ mpinga Cup” yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa bodabora jinini Dar es Saalam .  katikati ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani  SACP. Mohamed Mpinga, akifatiwa na mwakilishi wa  Meneja Uendeshaji Home Shopping center Yahaya Zuludi  na Mwakilishi wa Rotary club  Dar es Saalam Vinay Choudary ambao pia ni wadhamini wa michuano hiyo. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
 Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi  Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani  SACP. Mohamed Mpinga jezi zitakazotumika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani ili kupunguza idadi ya ajali za  barabarani .  michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price na  itafanyika kwa muda wa wiki nzima,  wakishuhudia katikati  ni Meneja uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na  kulia Mwakilishi wa Mr. Price Sudhirm Maharaj.makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
 Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi  Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani  SACP. Mohamed Mpinga mipira itakazotumika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . wadhamini wengine wa Mping cup ni pamoja na Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price . wakishuhudia katikati  ni Meneja uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na  kulia Mwakilishi wa Mr. Price Sudhirm Maharaj. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
 Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani  SACP. Mohamed Mpinga zitakazotumika katika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda
Mwakilishi wa Mr Price Sudhirm Maharaj akikabidhi jezi kwa Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani  SACP. Mohamed Mpinga zitakazotumika katika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na Airtel, Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU