Wednesday, June 12, 2013

MBONILE HANA MPANGO WA KUONGOZA GOFU MUDA WAO UMEKWISHA

Rais wa chama cha mchezo wa gofu wanawake Tanzania Mbonile Balton amesema muda wao wa kukaa madarakani kuongoza chama hicho umekwisha hivyo wako katika harakati za kutaka uchaguzi ufanyike ili viongozi wapya waongoze chama hicho huku yeye akisema hana mpango wa kugombea tena uongozi katika chama hicho ,kwani muda aliongoza unatosha kwake atajikita zaidi na kazi .

Amesema ili uongozi mwingine uingie madarakani wako katika mkakati wa kuhakikisha uchaguzi wa chama hicho unafanyika mwezi ujao

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU