Monday, February 7, 2011

MSOMAJI WA HABARI TBC JOSEPH MSAMI AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE ADELA DEOGRATIUS

                               JOSEPH MSAMI pamoja na mchumba wake ADELA DEOGRATIUS wakiombewa na mchungaji kanisani wakati wa sherehe za kumvisha pete mchumba wake
                          JOSEPH MSAMI msoma habari wa TBC akimvisha pete mchumba wake ADELA DEOGRATIUS katika kanisa la CITY CHIRSTIAN FELLOWSHIP
JOSEPH MSAMI akiwa na mchumba wake ADELA DEOGRATIUS 

1 maoni:

Anonymous said...

Wish you all the best, but usiwe uchumba sugu. Pendo la Muumba liwatangulie. Amina

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU