Kushoto ni meneja GODFREY KATULA akiwa na mwanamuziki MIRIAM MAUKI wakati wa mkutano na waandishi wa habaria wa kutangaza uzinduzi wa albam ya msanii huyo katika ukumbi wa DIAMOND JUBLEE siku ya jumapili
Waandishi wa habari wakiwa makini kumsikiliza mwanamuzi wa injili MIRIAM.
Wanamuziki wa muziki wa injili hapa nchini wametakiwa kutunga na kupiga nyimbo za injili zenye viwango vya kimataifa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM wakati wa kutambulisha albamu mpya ya SOTE na TUIMBE,mwimbaji wa muziki wa injili nchini MIRIAM MAUKI anasema nyimbo nyingi za injili bado hazifikii kiwango cha kimataifa kwa vile wanamuziki wengi wa injili hawazingatii viwango vya kimataifa
Wanamuziki watakaoshiriki katika uzinduzi huo ni UPENDO KONE,MARIAMU SHAKO,JACKSON BENTI na MARTHA MWAIPAJA.
0 maoni:
Post a Comment