Afisa mradi wa shirika la JOHNS HOPKINS -FURAHA KABUYE na Mkurugezi wa ufundi wa TFF -SUNDAY KAYUNI katikati na kocha wa Stars JAN POULSEN wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, TAIFA STARS -JAN POULSEN ataongoza kliniki ya kupiga vita malaria iliyonakauli mbiu ya MALARIA HAIKUBALIKI itakayoshirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 12 wa shule NANE za msingi za mkoa wa ARUSHA katika uwanja wa kumbukumbu ya SHEIKH AMRI ABEID KALUTA siku ya ALHAMIS.
Kliniki hiyo imeandaliwa na shirika la JOHNS HOPKINS la Jijini DSM ambayo ni kupiga vita MALARIA itashirikisha vijana 500 kutoka shule za msingi ambayo ni mafunzo ya siku moja
SANAWARI,DARAJA,MERU,LEVOLOSI,MWANGAZA,ENOSENGU,UNGA na MAKUMBUSHO.
0 maoni:
Post a Comment